![]() |
Mgombea Umakamu wa Rais wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kulia akizungumza na mlezi wa tawi la klabu hiyo Kigamboni, wakati alipotembelea tawi hilo kwa ajili ya kampeni zake usiku wa jana. |
![]() |
Kaburu akizungumza na wanachama wa Simba Kigamboni, eneo la Uwanja wa Swala |
![]() |
Kaburu akijadiliana jambo na mgombea nafasi ya Ujumbe kwa nafasi za wanawake, Amina Poyo kushoto |
0 comments:
Post a Comment