• HABARI MPYA

    Sunday, June 29, 2014

    MAMBO YANAVYOENDELEA UCHAGUZI SIMBA SC

    Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage (katikati) akiongoza Mkutano Mkuu wa Uchagzi wa Simba SC mchana huu katika ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam. Kushoto ni Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan 'Zungu'
    Wanachama

    Wanachama

    Mgombea Urais, Evans Aveva na nyuma yake mgombea Umakamu, Jamhuri Kihwelo 'Julio'

    Wanachama

    Mgombea Umakamu, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kulia akiwa na Mzee Joseph Itang'are 'Kinesi' kushoto

    Wagombea wa nafasi za Ujumbe 

    Wanachama

    Ukumbi kwa nje

    Wanachama wa wakijiandikisha

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAMBO YANAVYOENDELEA UCHAGUZI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top