• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 29, 2014

  MASHUJAA KATIKA KILIO CHA FURAHA


  Kilio cha furaha: Mashujaa wa Brazil katika ushindi wa penalti 3-2 baada ya sare ya 1-1 na Chile katika mchezo wa 16 Bora Kombe la Dunia, kipa Julio Cesar na beki David Luiz wakipongezana huku wakibubujikwa na machozi ya furaha kutinga Robo Fainali baada ya mechi ngumu. Luiz aliifungia Brazil bao la kuongoza sare ya 1-1 na pia akafunga penalti ya kwanza
  Safe hands: Julio Cesar saved two penalties for Brazil to help them reach the World Cup quarter-finals
  Mikono salama: Julio Cesar aliokoa penalti mbili
  Hero: Cesar (centre) was hoisted high by Brazil's players in amongst the wild celebrations in Belo Horizonte
  Cesar (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake mjini Belo Horizonte
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MASHUJAA KATIKA KILIO CHA FURAHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top