• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 29, 2014

  KABURU 'AWAGARAGAZA' JULIO NA NKWABI, NDIYE MAKAMU WA RAIS SIMBA SC

  Geoffrey Nyange 'Kaburu' ameshinda Umakamu wa Rais Simba SC baada ya kupata kura 1043 akimshinda mpinzani wake wa karibu Jamhuri Mussa Kihwelo 'Julio' aliyepata kura 413 na Swedi Nkwabi kura 300. Hata hivyo, hizo ni taarifa za awali, matokeo kamili yatatangazwa na Kamati ya Uchaguzi baadaye.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KABURU 'AWAGARAGAZA' JULIO NA NKWABI, NDIYE MAKAMU WA RAIS SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top