• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 26, 2014

  DK CHIDUO ANAOMBA UJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI SIMBA SC

  Mgombea Ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Juni 29, mwaka huu, Dk Rodney Chiduo akizungumza na wanachama wa tawi la Kigamboni jana wakati wa kampeni zake. Picha ya chini Dk Chiduo akiwa na mgombea mwenzake wa nafasi hiyo, Collin Frisch wakizungumza na mlezi wa tawi hilo, 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DK CHIDUO ANAOMBA UJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top