• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 26, 2014

  MAXIMO NDANI YA DAR, YANGA RAHA TUPU

  Kocha mpya wa Yanga SC, Mbrazil Marcio Maximo baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mchana wa leo tayari kuanza kazi.
  Maximo akizungumza na Waandishi wa Habari
  Maximo akisindikizwa na askari Polisi baada ya kuwasili
  Safari Jangwani; Maximo akiwa kwenye gari safarini kuelekea makao makuu ya klabu hiyo, Jangwani 
  Mashabiki wa Yanga wakifurahia na Maximo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAXIMO NDANI YA DAR, YANGA RAHA TUPU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top