Kazi Inaanza: Kocha wa Brazil, Luis Felipe Scolari na nyota wake, Neymar wakitaniana wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari kwa ajili ya mchezo wa Ufunguzi wa Kombe la Dunia leo dhidi ya Croatia Uwanja wa Maracana
Macho yote yanatarajiwa kuelekezwa kwa kinda huyu wa miaka 22 anayechezea Barcelona. Mechi hiyo itaanza Saa 5:00 usiku kwa Saa za Afrika Mashariki
0 comments:
Post a Comment