Nakufahamu wewe! Shabiki mwenye mwonekano wa Ronaldinho akiwa amevamia uwanjani wakati wa Argentina wakifanya mazoezi jana Belo Horizonte
Messi akijichekea tu vituko vya wanadamu wakati shabiki huyo anaondolewa
Heshima: Shabiki mwingine akifuta viatu vya Messi baada ya kuvamia uwanjani
Akamalizia kwa kumkumbatia
Ilikuwa vurumai namna hii, shabiki mwingine huyo bwana mdogo akiwakimbilia wachezaji
Nyota wa Real Madrid, Angel Di Maria akijifua
Mambo adimu, Argentina itacheza mechi yake ya kwanza Jumamosi dhidi ya Bosnia
Shabiki wa kike aliyekwenda Brazil kuishangilia Argentina
0 comments:
Post a Comment