• HABARI MPYA

    Tuesday, June 03, 2014

    BREAKING NEWS; FALCAO ATEMWA KIKOSI CHA MWISHO CHA COLOMBIA KOMBE LA DUNIA

    KIKOSI CHA NYOTA 23 WA COLOMBIA 23;

    David Ospina (Nice), Faryd Mondragon (Deportivo Cali), Camilo Vargas (Santa Fe) 
    Camilo Zuniga (Napoli), Pablo Armero (Napoli), Cristian Zapata (AC Milan), Mario Yepes (Atalanta), Carlos Valdes (Philadelphia Union - kwa mkopo San Lorenzo), Santiago Arias (PSV Eindhoven), EderAlvarez-Balanta (River Plate)
    James Rodriguez (Monaco), Abel Aguilar (Toulouse), Carlos Sanchez (Elche), Fredy Guarin (Inter Milan), Juan Fernando Quintero (Porto), Aldo Ramirez(Morelia), Alexander Mejia (Atletico Nacional), VictorIbarbo (Cagliari), Juan Guillermo Cuadrado(Fiorentina)
    Jackson Martinez (Porto), Teofilo Gutierrez (River Plate), Carlos Bacca (Sevilla), Adrian Ramos (Borussia Dortmund).
    MASHABIKI wa soka Colombia wamshitushwa na habari za mshambuliaji wao nyota, Radamel Falcao kukosa Kombe la Dunia nchini Brazil.
    Kocha wa timu ya taiga ya nchi hiyo, Jose Pekerman ametangaza kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 23 jana usiku katika Mkutano na Waandishi wa Habari mjini Buenos Aires, Argentina timu hiyo ilipoweka kambi.
    Falcao, ambaye aliumia goti wajati akiichezea klabu yake, Monaco ya Ufaransa Januari mwaka huu, ametemwat, baada ya Pekerman kuona hayuko tayari kucheza.
    Mshambuliaji huyo wa zamani wa Atletico Madrid ambaye alisainiwa kwa bei mbaya na Monaco msimu uliopita, awali alionekana mwenye matunaini ya kuiongoza timu yake ya taiga katika Fainali zap Kombe kla Dunia mwaka huu Brazil, lakini sasa wazi imeshindikana.
    Pekerman alisema wiki iliyopita kwamba atasubiri hadi siku ya mwishoi, dakika ya mwisho, kabla ya kuamua kuhusu mchezaji huyo mwenye umri wa miaia 28.
    Habari ya kusikitisha: Falcao kulia akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari jana akiwa na kocha wake, Jose Pekerman
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BREAKING NEWS; FALCAO ATEMWA KIKOSI CHA MWISHO CHA COLOMBIA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top