Thursday, June 12, 2014

    BREAKING NEWS; FABREGAS ASAINI MIAKA MITANO CHELSEA NA KUKABIDHIWA JEZI NAMBA 4

    KIUNGO Cesc Fabregas amesaini Chelsea kwa dau la Pauni Milioni 30.
    Klabu hiyo ya Stamford Bridge imetangaza kwamba Nahodha huyo wa zamani wa Arsenal amesaini mkataba wa miaka mitano na atavaa jezi namba nne. 
    "Kwanza napenda kumshukuru kila mmoja wa FC Barcelona, ambako nimefurahia miaka mitatu ya ajabu,"amesema Fabregas.
    Wa Bluu: Cesc Fabregas akiwa ameshika jezi namna nne baada ya kumalizana na Chelsea akitokea Barcelona kwa mkataba wa kiaka mitanoMake it official: Barcelona released an official statement thanking Fabregas for his time
    Taarifa rasmi: Barcelona imetoa taarifa ya kumshukuru Fabregas kwa muda ambao ameitumikia timu hiyo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BREAKING NEWS; FABREGAS ASAINI MIAKA MITANO CHELSEA NA KUKABIDHIWA JEZI NAMBA 4 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry