• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 25, 2014

  UEFA YAWAPA ADHABU YA AINA YAKE BAYERN MUNICH KWA KUWAITA ARSENAL MASHOGA

  SEHEMU moja ya jukwaa katika Uwanja wa Allianz Arena itafungwa wakati wa mchezo dhidi ya Manchester United na wenyeji Bayern Munich mwezi ujao. 
  UEFA imechukua hatua hiyo kuelekea Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya mashabiki wa Bayern kuonyesha bango la matusi katika mchezo wa 16 Bora dhidi ya Arsenal. 
  Bango hilo lilikuwa limeandikwa "Gay Gunners", yaani Arsenal mashoga- na kuchorwa kikatuni cha kiungo Mesut Ozil mbele ya klabu saini ya klabu hiyo. 
  Utata: Mashabiki wa Bayern Munich wakionyesha bango la matusi kabla ya mechi na Arsenal
  Punishment: UEFA have taken the decision that Arjen Robben and Co will play in front of a part-empty ground
  Adhabu: UEFA imeamua Arjen Robben na wenzake watacheza eneo moja la Uwanja likiwa tupu
  Expensive seats: Section 124 - along the touchline - will be shut when they host Manchester United
  Siti za gharama: Eneo namba 124 - lililozungushiwa wino mwekundu litakuwa wazi katika mechi na Manchester United
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UEFA YAWAPA ADHABU YA AINA YAKE BAYERN MUNICH KWA KUWAITA ARSENAL MASHOGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top