• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 25, 2014

  FINA MANGO NA HIKI KITOTO KIDULA WALIKUWA WANAFANYA NINI HAPA?

  Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Magic FM Fina Mango kulia akiwa na mtangazaji mwenzake wa Redio na Televisheni East Africa, Abdallah Ambua 'Dulla' katika hoteli ya Ledger Plazza, Bahari Beach, eneo la Kunduchi, Dar es Salaam ambako wadau wa muziki walikutana.
  Mwandishi wa makala za uchambuzi wa muziki na mwanamuziki nguli wa Reggae nchini, Innocent Nganyagwa 'Ras Ino' kulia akiwa na Aluta Warioba wa Times FM kushoto
  Mtangazaji wa Redio One, Salma Dakota kulia akiwa mmiliki wa Saluti5.com, Saidy Mdoe kushoto
  Mariam Migomba wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kulia akiwa na mdau mwingine, jina halikupatikana
  Mtangazaji wa kipindi cha Wikiendi Bonanza na Mamaland cha Redio na Televisheni Vlouds, Benny Kinyaiya kshoto akiwa na Mtendaji Mkuu wa BIN ZUBEIRY Blog, Mahmoud Zubeiry Ledger Plazza
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FINA MANGO NA HIKI KITOTO KIDULA WALIKUWA WANAFANYA NINI HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top