• HABARI MPYA

  Jumatatu, Machi 31, 2014

  WASANII KATIKA SEMINA YA TUZO ZA KILI LEO

  Mwanamuziki wa bendi ya Mapacha Watatu, Khalid Chokora akizungumza wakati wa semina ya wanamuziki walioingia kwenye kinyang'anyiro cha ruzo za muziki Tanzania, maarufu Kilimanjaro Music Award au tuzo za Kili inayoendelea hivi sasa katika hoteli ya Double Tree, Masaki, Dar es Salaam. Kulia ni mwimbaji wa Mapacha, Catherine Cindy.  
  Muongoza shughuli,Taji Liundi 'Master T' kulia na kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya tuzo, Innocent Nganyagwa
  Mzee Yussuf wa Jahazi Modern Taarab kushoto
  Mwanamuziki wa Hip hop, Fid Q kushoto na rafiki yake, Rashid Kihelero
  Kutoka kulia Hamisi Dakora, Abdul Kiba na Mwana FA
  Kulia Jose Mara wa Mapacha Watatu na kushoto Nyoshi El Saadat wa FM Academia
  Kulia ni Said Fela na kushoto ni DJ Kwembe Ally
  Hussein Jumbe wa Talent Band na Rukia Juma wa Mashauzi kushoto
  Hamza 'Komando' Kalala kulia na Kapteni Temba
  Meneja wa bia ya Kilimanjaro, George Kavishe kushoto akizungumza na Fina Mango wa Magic FM
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WASANII KATIKA SEMINA YA TUZO ZA KILI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top