• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 27, 2014

  YANGA SC ILIVYOIKANDAMIZA 5-0 PRISONS TAIFA JANA...DOGO MSUVA NI BALAA AISEE

  Asante mdogo wangu; Mshambuliaji Mganda wa Yanga SC, Hamisi 'Diego' Kiiza kushoto akimshukuru winga Simon Msuva kwa kumpasia krosi ya bao jana akifunga mabao mawili katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Priusons ya Mbeya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
  Winga teleza; Simon Msuva kushoto akimtoka Freddy Chudu wa Prisons
  Mtu hatari; Mrisho Ngassa akimpiga chenga kipa wa Prisons, Beno Kakolanya
  Nurdin Chona wa Prisons kulia akimiliki mpira mbele ya Hussein Javu wa Yanga
  Hassan Dilunga wa Yanga SC kulia akimtoka Lugano Mwangama wa Prisons
  Jerry Tegete wa Yanga SC akipiga kichwa mpira ulioenda juu ya lango
  Emmanuel Okwi wa Yanga SC akimiliki mpira mbele ya Lugano Mwangama wa Prisons
  Simon Msuva akimiliki mpira kushoto mbele ya beki wa Prisons, huku kiungo Frank Domayo kulia akiwa tayari kumsaidai
  Kikosi cha Prisons jana
  Kikosi cha Yanga SC jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOIKANDAMIZA 5-0 PRISONS TAIFA JANA...DOGO MSUVA NI BALAA AISEE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top