• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 21, 2014

  SIR ALEX FERGUSON ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA

  KOCHA Sir Alex Ferguson amepokea Shahada ya heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ulster jana kutokana na mchango wake mkubwa katika soka.
  Kocha huyo wa zamani wa Manchester United, ambaye alistaafu mwishoni mwa msimu uliopita baada ya miaka 26 ya kuwa kazini Old Trafford, alipokea Shahada ya heshima ya Daktari wa Sayansi (DSc.) kutoka kwa mwigizaji na mshauri wa Ulster, James Nesbitt.
  Mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 72 alikwenda Ireland Kaskazini kwa ajili ya shughuli hiyo, ambayo ilihudhuriwa na zaidi ya watu 500, hususan wanafunzi na wahitimu.
  Tabasamu mwanana: Ferguson akiwa na Mshauri wa Chuo Kikuu cha Ulster, na shabiki wa Man United, James Nesbitt
  Speech: Ferguson speaks to students after receiving his honorary degree from the University of Ulster
  Ferguson akiwahutubia wanafunzi baada ya kupokea tuzo yake Chuo Kikuu cha Ulster 
  Proud moment: Sir Alex Ferguson has received an honorary degree for his outstanding contribution to football
  Proud moment: Sir Alex Ferguson has received an honorary degree for his outstanding contribution to football
  Wakati wa furaha: Sir Alex Ferguson alipopokea Shahada yake ya heshim jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIR ALEX FERGUSON ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top