• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 30, 2014

  JAPHET KASEBA NA THOMAS MASHALI KATIKA PICHA JANA PTA

  Bondia Thomas Mashali kushoto akimuadhibu mpinzani wake, Japhet Kaseba kulia usiku wa jana katika pambano la uzito wa Light Heavy kuwania ubingwa wa WBO ukumbi wa PTA, Sabasaba, Temeke mjini Dar es Salaam. Mashali alishinda kwa pointi za majaji wote watatu.
  Mashali kulia na Kaseba kushoto
  Kaseba kushoto na Mashali kulia
  Kaseba kulia na Mashali kushoto
  Mashali kulia na Kaseba kushoto
  Kaseba kulia akiwa amemkumbatia Mashali kushoto
  Bondia Alan Kamote kushoto akimsukumia konde, Karage Suba kushoto katika pambano la kuwania ubingwa wa UBO uzito wa Light. Kamote alishinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ta tano.
  Bondia Rajab Maoja akiwa ameangukia kwenye kamba baada ya kupigwa na mpinzani wake, Freddy Sayuni katika pambano la uzito wa Feather kuwania ubingwa wa PST. Maoja alichanika na raundi ya nne na kushindwa kuendelea,pambano hilo likaamuliwa ni sare
  Freddy Sayuni kushoto na Rajab Maoja kulia
  Mabondia wa zamani Chaurembo Palasa kulia na swahiba wake Maneno Oswald kushoto walikuwepo jana
  Rais wa TPBO, Yassin Abdallah 'Ustadh' kulia na promota Mohamed Bawaziri kushoto wakiwa meza kuu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JAPHET KASEBA NA THOMAS MASHALI KATIKA PICHA JANA PTA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top