• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 21, 2014

  ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE HII HAPA...

  MUDA mfupi baada ya kutoka kwa ratiba ya Robo Fainali ya Ligi Mabingwa Ulaya, UEFA imepiga hatua nyingine kwa kutoa droo ya Robo Fainali ya Europa League.
  Wababe wa Ureno, Benfica watamenyana na AZ, wakati Lyon watapambana na Juventus, Basle na Valencia na Porto na Sevilla
  Mechi za kwanza zinatarajiwa kuchezwa Aprili 3 wakati za marudiano zitapigwa Aprili 10, mwaka huu.
  Mwali: Taji la Europa League likiwa mjini Nyon, Uswisi wakati wa upangaji wa droo ya Robo Fainali

  ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE 2014

  AZ vs Benfica
  Lyon vs Juventus
  Basle vs Valencia
  Porto vs Sevilla
  Mechi za kwanza zinatarajiwa kuchezwa Aprili 3 wakati za marudiano zitapigwa Aprili 10, mwaka huu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ROBO FAINALI EUROPA LEAGUE HII HAPA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top