NGASSA ALIPOTUNISHIANA MISULI NA MOMBEKI MLIMANI CITY
Mrisho Khalfan Ngassa wa Yanga SC kushoto alikutana na Betram Mombeki wa Simba SC jana katika tuzo za gazeti la Mwanaspoti ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam na salamu yao ilikuwa ya kutunishiana misuli namna hii.
0 comments:
Post a Comment