• HABARI MPYA

    Thursday, September 26, 2013

    MOYES ALIVYOBADILI KIKOSI MAN UNITED...AMA KWELI HIZI NI ZAMA MPYA OLD TRAFFORD

    IMEWEKWA SEPTEMBA 26, 2013 SAA 1:54 USIKU
    PICHA ya mbele ya kikosi cha Manchester United imebadilika kwa mara ya kwanza baada ya miaka 27 huku David Moyes akitokea katikati mbele yangu Sir Alex Ferguson astaafu.
    Picha mpya imetolewa kwenye ukurasa wa Twitter klabu, na Moyes akiwa amepo katikati ya Nahodha wake, Nemanja Vidic na kiungo mkongwe, Ryan Giggs.
    Picha hiyo pia inamhusisha mchezaji mpya, Marouane Fellaini, ambaye amepozi katikati kwa mstari wa mwsiho kabisa, na Wayne Rooney, ambaye alivumishwa kutaka kuondoka klabu hiyo majira ya joto, amepozi mbele kulia. Taji la Ligi Kuu ya England na Ngao ya Jamii pia yamo pichani.
    Centre stage: Manchester United have released their team photo for the new season with David Moyes and Marouane Fellaini the new additions
    Kikosi kipya: Manchester United imetoa picha mpya kwa ili ya msimu mpya na David Moyes, Marouane Fellaini na Wilfried Zaha ni miongoni mwa waliomo

    KIKOSI CHA MANCHESTER UNITED 2013-2014

    Kikosi cha Manchester United(Nyuma kabisa kutoka kushoto:)  Danny Welbeck, Phil Jones, Chris Smalling, Jonny Evans, Marouane Fellaini, Rio Ferdinand, Michael Carrick, Robin van Persie 
    (Katikati kutoka kushoro:) Ofisa Garry Armer, Mchambuzi wa viwango vya mchezo, Paul Brand, Mkuu wa Ufiti, Tony Strudwick, Antonio Valencia, Darren Fletcher, Wilfried Zaha, Adnan Januzaj, Fabio da Silva, Ofisa Rod Thornley, Mtunza Vifaa, Alec Wylie, Physio Neil Hough 
    (Mstari wa pili kutoka kushoto:) Mtunza vifaa Msaidizi, Ian Buckingham, Daktari Rob Swire, Dk Steve McNally, Alexander Buttner, Sam Johnstone, Anders Lindegaard, David de Gea, Ben Amos, Ashley Young, kocha Phil Neville, Ofisa Andy Caveney, kocha wa makipa, Chris Woods.
    (Mbele kutoka kushoto:) Shinji Kagawa, Rafael da Silva, Anderson, Nani, Assistant Manager Steve Round, Ryan Giggs, Kocha David Moyes, Nemanja Vidic, Kocha Jimmy Lumsden, Patrice Evra, Javier "Chicharito" Hernandez, Tom Cleverley na Wayne Rooney
    The Treble: Sir Alex Ferguson, ROy Keane and the great treble-winning team pose ahead of the 1999-2000 season
    Mataji matatu: Sir Alex Ferguson, Roy Keane na wakiwa na mataji matatu ambayo klabu ilishinda msimu wa 1999-2000
    Champions of Europe: Matt Busby, Bobby Charlton and George Best can be seen after their heroic European Cup win over Benfica in 1968
    Mabingwa wa Ulaya: Matt Busby, Bobby Charlton na George Best katika kikosi kilichotwaa ubingwa wa Ulaya kwa kuifunga Benfica mwaka 1968
    Electronic goods: Ron Atkinson and the 1982-83 team pose with a range of goods to mark a sponsorship deal with Sharp
    Mitambo ya umeme: Ron Atkinson na kikosi cha msimu wa 1982-1983 wakiwa na bidhaa za wadhamini wa wakati huo, Sharp
    Walking away: The Manchester United players leave the Old Trafford pitch after the team picture
    Wanatembea: Wachezaji wa Manchester United wakiondoka Uwanja wa Old Trafford baada ya kupiga picha ya timu
    Missing: Sir Alex Ferguson was missing from the team photo after his retirement
    Anakosekana: Sir Alex Ferguson hayumo kwenye picha mpya baada ya kustaafu
    Movement: Hernandez produced a brilliant improvised finish to score the only goal of the game
    Bao la mwisho kabla ya picha: Hernandez alifunga bao pekee United ikiifunga Liverpool katika Kombe la Ligi jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MOYES ALIVYOBADILI KIKOSI MAN UNITED...AMA KWELI HIZI NI ZAMA MPYA OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top