• HABARI MPYA

  Sunday, September 29, 2013

  KIONGOZI SIMBA SC AMVAA NGASSA TAIFA, AMUAMBIA KWA NINI...

  IMEWEKWA SEPTEMBA 29, 2013 SAA 7:10 MCHANA
  Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba SC, Ibrahim Masoud 'Maestro' alimfuata Mrisho Ngassa jana karibu na chumba cha kubadilishia nguo cha timu yake, kuzungumza naye. Maestro ambaye pia ni mtangazaji wa kituo cha Redio Clouds alikuwa akimlalamikia mchezaji huyo kutopokea simu zake. Ngassa aliisaidia Yanga kushinda 1-0 dhidi ya JKT Ruvu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: KIONGOZI SIMBA SC AMVAA NGASSA TAIFA, AMUAMBIA KWA NINI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top