• HABARI MPYA

  Wednesday, September 18, 2013

  SIMBA SC ILIVYOVUNA MVUA YA MABAO LEO TAIFA NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU BARA LEO

  IMEWEKWA SEPTEMBA 18, 2013 SAA 5:00 USIKU
  Mshambuliaji wa Simba SC, Amisi Tambwe kulia akipiga shuti mbele ya mabeki wa Mgambo JKT katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara leo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tambwe alifunga mabao manne, Simba ikishinda 6-0 na kupanda kileleni Ligi Kuu kwa kufikisha pointi 10 baada ya mechi nne.

  Betram Mombeki wa Simba SC akichuana na beki wa Mgambo JKT

  Henry Joseph akimtoka beki wa Mgambo JKT

  Amisi Tambwe akishangilia moja ya mabao yake leo

  Kikosi cha Simba SC leo

  Kikosi cha Mgambo JKT leo

  Shabiki kigeugeu; Shabiki bubu aliyehama kutoka Simba kwenda Yanga, leo amerejea tena Msimbazi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOVUNA MVUA YA MABAO LEO TAIFA NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU BARA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top