• HABARI MPYA

  Wednesday, September 18, 2013

  YANGA SC ILIVYOKAMATWA NA WAJELAJELA SOKOINE LEO

  IMEWEKWA SEPTEMBA 18, 2013 SAA 2:56 USIKU
  Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akiwatoka mabeki wa Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Timu hizo zilitoka 1-1.

  David Luhende akimtoka beki wa Prisons

  Ilikuwa shughuli pevu Sokoine leo

  Said Bahanuzi akituliza mpira gambani mbele ya wachezaji wa Prisons, huku Simon Msuva akigaagaa chini

  Didier Kavumbangu akimtoka beki wa Prisons

  Jerry Tegete akiwania mpira dhidi ya wachezaji wa Prisons

  Kipa wa Prisons akiwa juu kudaka mpira

  Beki wa Prisons akimkwatua Mbuyu Twite wa Yanga SC 

  Beki wa Prisons akiosha mpira pembeni ya Jerry Tegete

  Simon Msuva akipenyeza shuti katikati ya wachezaji wa Prisons

  Beki wa Prisons wakienda hewani kupiga mpira kichwa dhidi ya Haruna Niyonzima wa Yanga SC

  Kikosi cha Yanga SC leo

  Kikosi cha Prisons leo

  Askari Polisi na Magereza wakishirikiana kulinda basi la Yanga lisishambuliwe kama Jumamosi kwenye mchezo na Mbeya City

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: YANGA SC ILIVYOKAMATWA NA WAJELAJELA SOKOINE LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top