• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 22, 2013

  TWANGA PEPETA ILIVYOPAGAWISHA JANA MANGO, WALIKUWEPO WANENGUAJI WA MASHUJAA

  MEWEKWA SEPTEMBA 22, 2013 SAA 4;50 ASUBUHIMwimbaji nyota wa bendi ya Africans Stars, Kalala Junior akiimba kwenye onyesho la bendi hiyo maarufu kama Twanga Pepeta jana kwenye ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni, Dar es Salaam. 

  Wanenguaji wakiburudisha

  Mnenguaji wa bendi ya Mashujaa, Suzan akitumbuiza katika jukwaa la Twanga Pepeta jana 

  Mnenguaji wa Mashujaa akimkatia mauno shabiki wa Twanga jana

  Vijana wa shoo Twanga Pepeta

  Hawatuwezi; Mkurugenzi wa Twanga Pepeta, Asha Baraka kushoto akinong'ona na mdogo wake, Omar Baraka jana Mango

  Shabiki huyu alisogea karibu na jukwaa na kulala kama unavyomuona ili kupata burudani vizuri

  Huyu muziki mzuri wa Twanga ulimpa usingizi mnono

  JB na Baba Hajji wa Bongo Movie

  Watu wakicheza Twanga kwa raha zao

  Asha Baraka akiwa na shoga yake Asha Kigundula. Kulia ni mume wa Asha K. Kigundula 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: TWANGA PEPETA ILIVYOPAGAWISHA JANA MANGO, WALIKUWEPO WANENGUAJI WA MASHUJAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top