• HABARI MPYA

  Jumanne, Septemba 24, 2013

  BALOTELLI AFUNGIWA MECHI TATU ITALIA KWA KUMVAGAA REFA SIKU AKIKOSA PENALTI YA KWANZA MAISHANI

  IMEWEKWA SEPTEMBA 24, 2013 SAA 7:02 USIKU
  MSHAMBULIAJI Mario Balotelli amefungiwa mechi tatu kufuata kumvaa refa katika mchezo ambao timu yake, AC Milan ilichapwa mabao 2-1 na Napoli Jumapili.
  Balotelli, ambaye alikosa na kufunga bao zuri la kufutia machozi kwa timu yake, alionyeshwa kadi ya pili ya njano baada ya mechi kwa kumvaa refa.
  Mshambuliaji huyo wa Italia sasa atakosa mechi tatu zijazo kwa kosa hilo. 
  VIDEO: Scroll down to watch Balotelli miss the first penalty of his career against Napoli
  Seeing red: Mario Balotelli, left, is restrained by Milan team-mate Marco Amelia after being sent off
  Tulia bwana: Mario Balotelli, kushoto, akitulizwa na mchezaji mwenzake wa Milan, Marco Amelia baada ya kulimwa kadi nyekunduAC Milan's forwards Mario Balotelli (2ndL) reacts after receiving a red card
  AC Milan's forwards Mario Balotelli (2ndR) argues with the referee Luca Banti (3dL)
  Kachaa Mario: Baloteli akibishana na refa Luca Banti

  Balotelli, ambaye alifunga penalti zake zote 21 za awali katika mechi rasmi, mkwaju wa Jumapili uliokolewa na kipa wa Napoli, Pepe Reina.
  Kadi hiyo nyekundu ya utata, inamaanisha Super Mario atakosa mechi na Bologna, Sampdoria na Juventus, ingawa Milan inaweza kukatia rufaa adhabu hiyo. 
  Missed: Mario Balotelli missed the first penalty of his career in the 2-0 defeat to Napoli
  Anakosa: Mario Balotelli akikosa penalti juzi
  Acrobatics: Balotelli attempts an overhead kick
  Bonge la bao: Lakini Balotelli akafunga kwa tik tak
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: BALOTELLI AFUNGIWA MECHI TATU ITALIA KWA KUMVAGAA REFA SIKU AKIKOSA PENALTI YA KWANZA MAISHANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top