• HABARI MPYA

  Monday, September 23, 2013

  NIGER MABINGWA TENA AIRTEL RISING STARS, ZAMBIA YAIFUNGA TANZANIA KWA MBINDE

  Na Iwedi Ojinmah, IMEWEKWA SEPTEMBA 23, 2013, SAA 8:12 USIKU
  TIMU ya Niger imefanikiwa kutetea Kombe la vijana chini ya umri wa miaka Airtel Rising Stars jana baada ya kuifunga Zambia kwa penalti 7-6.
  Kikosi cha  vijana wa Tanzania. Wametolewa katika Nusu Fainali na Zambia.

  Pamoja na mvua, kulikuwa kuna watu wengi uwanjani na Niger ilipata bao la mapema la kuongoza, lakini Zambia wakawasazisha zikiwa zimesalia dakika saba. 
  Ikumbukwe Niger iliwatoa wenyeji, Nigeria kwa penalti 8-7 wakati Zambia iliitoa Tanzania kwa mabao 4-3 katika Nusu Fainali juzi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: NIGER MABINGWA TENA AIRTEL RISING STARS, ZAMBIA YAIFUNGA TANZANIA KWA MBINDE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top