• HABARI MPYA

  Saturday, September 21, 2013

  SIMBA SC ILIVYOKABWA KOO NA MBEYA CITY TAIFA LEO...DHAIRA HANA HAMU NA WALE WATOTO

  IMEWEKWA SEPTEMBA 21, 2013 SAA 3:30 USIKU
  Biashara gani hii; Kipa wa Simba SC, Abbel Dhaira akiwa amepiga magoti kipweke, baada ya Mbeya City kupata bao la kusawazisha na toa sare ya 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo. 

  Jonas Mkuse akigombea mpira wa juu na mchezaji wa Mbeya City

  Winga wa Mbeya City, Deofratius Julius akiwatoka mabeki wa Simba SC

  Amri Kiemba wakiwania mpira na Anthony Matogolo wa Mbeya City

  Paul Nonga wa City akimiliki mpira katikati ya mabeki wa Simba SC, Hassan Hatibu na Joseph Owino kulia

  Betram Mombeki wa Simba kulia akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Mbeya City

  Mombeki na mabeki wa Mbeya City

  Mombeki na mabeki wa Mbeya City

  Mombeki na mabeki wa Mbeya City

  Mfungaji wa mabao mawili ya Simba SC leo, Amisi Tambwe akipambana na mabeki wa Mbeya City

  Paul Nonga wa Mbeya City akimtoka Amri Kiemba wa Simba SC

  Twaha Ibrahim wa Simba SC akimlamba chenga beki wa Mbeya City 

  Paul Nonga wa Mbeya City akimtoka Amri Kiemba 

  Hatari kwenye lango la Mbeya City

  Wachezaji wa Mbeya City wakiomba dua kabla ya mechi

  Twaha Ibrahim wa Simba akimpiga chenga beki wa Mbeya City

  Haroun Chanongo wa Simba SC akifumua shuti mbele ya beki wa Mbeya City

  Kikosi cha Mbeya City leo

  Kikosi cha Simba SC leo

  Benchi la Simba SC baada ya Mbeya City kusawazisha

  Mashabiki wa Mbeya City waliosafiri kutoka Mbeya

  Mashabiki wa Simba SC Taifa leo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOKABWA KOO NA MBEYA CITY TAIFA LEO...DHAIRA HANA HAMU NA WALE WATOTO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top