• HABARI MPYA

  Sunday, September 22, 2013

  AZAM FC ILIVYOIADHIBU YANGA SC TAIFA LEO...MOJA, MBILI,TATU...KWA MBILI ZAO

  IMEWEKWA SEPTEMBA 22, 2013 SAA 2:04 USIKU
  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akilalamika baada ya kuchezewa faulo na beki wa Yanga SC, David Luhende katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 3-2. 

  Kevin Yondan aliokoa kwa kichwa mpira wa Brian Umony ukamkuta John Bocco akaukwamisha nyavuni kuipatia Azam bao la kwanza

  Farid Mussa wa Azam akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Yanga SC, Mbuyu Twite 

  Farid Mussa akimiliki mpira kushoto pembe ya Mbuyu Twite

  John Bocco akitafuta mbinu za kumtoka Mbuyu Twite

  Joackins Atudo wa Azam kulia akiwania mpira dhidi ya winga wa Yanga SC, Simon Msuva kushoto

  Waziri Salum akimtoka Simon Msuva 

  Simon Msuva akimtoka Waziri Salum

  Athumani Iddi 'Chuji' wa Yanga SC akimtoka Farid Mussa wa Azam 

  Azam wakishangilia bao la pili lililofungwa na Kipre Tchetche

  Brian Umony akifurahia pasi yake kuzaa bao, huku kipa wa Yanga SC, Ally Mustafa 'Barthez' wakiwa wamekaa nyavuni 

  Yanga wakishangilia bao la pili

  Hamisi Kiiza akimtoka Said Mourad

  Didier Kavumbangu wa Yanga akiwanai mpira wa juu

  Mwandishi wa gazeti la Mwanaspoti, Dorris Maliyaga akiwa kazini Uwanja wa Taifa leo. Hapa ni baada ya Azam kupata bao la tatu 

  Haruna Niyonzima akimtoka Brian Umony

  Farid Mussa leo alimtesa sana Mbuyu Twite

  Kevin Yondan akiambaa na mpia baada ya kuokoa

  Didier Kavumbangu akimiliki mpira ya kipre Balou

  Humphrey Mieno akizuia mpira uliopigwa na Nadir Haroub 'Cannavaro'

  Himid Mao akiwatoka viungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' na Frank Domayo 

  Tutafukuzwa, au? Benchi la Ufundi la Yanga kutoka kula Kocha Mkuu Mholanzi Ernie Brandts, Msaidizi wake, Freddy Felix Minziro, kocha wa makipa Mkenya, Razack Ssiwa na Daktari, Nassor Matuzya.   

  Kikosi cha Yanga SC leo

  Kikosi cha Azam FC leo 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: AZAM FC ILIVYOIADHIBU YANGA SC TAIFA LEO...MOJA, MBILI,TATU...KWA MBILI ZAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top