• HABARI MPYA

  Sunday, September 29, 2013

  KIPA WA RUVU SHOOTING NA 'KATA K' YA 'UTAJIJU' DHIDI YA YANGA JANA TAIFA


  IMEWEKWA SEPTEMBA 29, 2013 SAA 6:00 MCHANA
  Kipa wa Ruvu Shooting, Abdul Seif akiwa amevaa bukta yake staili ya Kata K katika mechi ya jana ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Yanga SC, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kipa huyo chipukizi alidaka vizuri na kutunguliwa mara moja tu, timu yake ikilala 1-0 mbele ya mabingwa hao wa Ligi Kuu.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: KIPA WA RUVU SHOOTING NA 'KATA K' YA 'UTAJIJU' DHIDI YA YANGA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top