• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 18, 2013

  MAN UNITED YAUA 4-2 ULAYA, ROONEY APIGA MBILI NA KUTIMIZA MABAO 200...NA VAN MABAO KAMA KAWA

  IMEWEKWA SEPTEMBA 18, 2013 SAA 6:48 USIKU
  KOCHA David Moyes ameonyesha nini alihitaji kucheza soka ya wazi, soka adimu Uwanja wa Old Trafford, ambayo matunda yake ni kushinda mabao mengi, 4-2 dhidi ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani katika mchezo wa kwanza wa hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa usiku huu.
  Hadi sasa, Moyes wakati wote amekuwa akijaribu kuwatumia pamoja Robin van Persie na Wayne Rooney pale mbele. Sasa wako upande wake na wanamfanyia kazi nzuri.
  Van Persie amefunga moja ya mabao ya msimu, Rooney amefunga mawili na lingine Antonio Valencia katika ushindi ho na sasa wanaelekea kwenye mchezo dhidi ya mahasimu wao, Manchester City wakiwa wenye kujiamini.
  Faraja kwa Rooney leo ametimiza mabao 200 ya kuifungia United, hivyo kuingia kwenye orodha ya magwiji wa klabu, Bobby Chartlon mabao 249, Dennis Law 237 na Jack Rowley 211.
  Deadlock broken: Wayne Rooney (left) opens the scoring against Bayer Leverkusen at Old Trafford
  La kwanza: Wayne Rooney (kushoto) akifunga bao la kwanza dhidi ya Bayer Leverkusen Uwanja wa Old Trafford
  Back of the net: Rooney's cushioned shot bounces up past Leverkusen keeper Bernd Leno
  Kitu hicho: Rooney akimtungua kipa wa Leverkusen, Bernd Leno
  Rooney celebrates
  Rooney akishangilia
  Mobbed: Rooney celebrates with Chris Smalling and Michael Carrick after his opening goal
  Anapongezwa: Rooney akishangilia na Chris Smalling na Michael Carrick baada ya kufunga bao la kwanzaIt all started so well: Rooney goes around Leverkusen keeper Leno during the second half
  Anamtesa kipa: Rooney akimzunguka kipa wa Leverkusen, Leno kipindi cha pili... but Rooney misses the open goal and sends his shot well wide of the far post with Van Persie unmarked
  ... lakini Rooney alikosa bao la wazi baada ya kupiga shuti lake huku Van Persie akishuhudiaWhat did I do? Rooney holds his head in his hands after his extraordinary miss
  Nimefanyaje? Rooney akishika kichwa chake kusikitika baada ya kukosa bao la waziAgony: David Moyes can't believe Rooney has missed, and neither can Sir Alex Ferguson (below) in the stands
  Hata kocha hakuamini: David Moyes hakuamini kama Rooney amekosa bao la wazi, hata Sir Alex Ferguson (chini) pia hakumini
  Agony: David Moyes can't believe Rooney has missed, and neither can Sir Alex Ferguson (below) in the stands
  Ngumu kuamini: David Moyes hakuamini, hata Sir Alex Ferguson pia
  Rooney 200

  Katika mechi hiyo iliyochezeshwa na refa  Damir Skomina  wa Slovenia, Rooney alifunga dakika ya 22 na Bayer wakasawazisha kupitia kwa Rolfes dakika ya 54, kabla ya Van Persie kufunga la pili dakika ya  59, Rooney tena la tatu dakika ya 70 na Valencia dakika ya 79 kabka ya wageni kupata bao la pili dakika ya 88 kupitia kwa Toprak.
  Kikosi cha Man Utd kilikuwa: De Gea, Smalling, Ferdinand, Vidic, Evra, Valencia, Carrick, Fellaini/Cleverley dk81, Kagawa/Young dk71, Rooney/Hernandez dk84 na Van Persie.
  Bayer Leverkusen: Leno, Donati, Spahic, Toprak, Boenisch, Can, Reinartz, Rolfes, Sam/Kruse dk78, Kiessling/Derdiyok dk78 na Son/Benderdk 64.Uteuzi wa timu wa Moyes unamaanisha Ryan Giggs atasubiri sana kuongeza idadi ya mabao yake. 
  Mkongwe huyo wa United, akiwa amebakiza miezi miwili kusherehekea kutimiza miaka 40, amefungana kwa na gwiji wa zamani wa Real Madrid, Raul katika kucheza mechi nyingi katika Ligi ya Mabingwa, wote 144). 
  Na kwa kuwa Giggs hakuwepo hata benchi, kuna uwezaekano ikamchukua muda sana. 
  Giggs na Raul wanafuatiwa na Paolo Maldini (mechi 140), Xavi (mechi 136), Clarence Seedorf (mechi 131), Paul Scholes (mechi 130) na Iker Casillas (mechi 129).

  SIKU YA ROONEY...LAKINI GIGGS MAJANGA

  Uteuzi wa timu wa Moyes unamaanisha Ryan Giggs atasubiri sana kuongeza idadi ya mabao yake. 
  Mkongwe huyo wa United, akiwa amebakiza miezi miwili kusherehekea kutimiza miaka 40, amefungana kwa na gwiji wa zamani wa Real Madrid, Raul katika kucheza mechi nyingi katika Ligi ya Mabingwa, wote 144). 
  Na kwa kuwa Giggs hakuwepo hata benchi, kuna uwezaekano ikamchukua muda sana. Giggs na Raul wanafuatiwa na Paolo Maldini (mechi 140), Xavi (mechi 136), Clarence Seedorf (mechi 131), Paul Scholes (mechi 130) na Iker Casillas (mechi 129).
  What a finish: Robin van Persie (left) leaps to hook in a superb volley to restore United's lead
  Bonge la bao: Robin van Persie (kushoto) akifunga bao safiWhat a finish: Robin van Persie (left) leaps to hook in a superb volley to restore United's lead
  Bao tamu: Robin van Persie (kulia) akifunga moja ya mabao bora ya msimuDutch of class: Van Persie salutes the Old Trafford crowd after his superb volleyed goal
  Mholanzi kiwango: Van Persie akiwapa ishara mashabiki Uwanja wa Old Trafford baada ya kufunga bao zuriAt the double: Rooney clips his second goal of the night - and his 200th for United - over Leno
  La pili: Rooney akifunga bao lake la pili usiku huu na kufikisha mabao 200 United - hapa anamtenda tena LenoHistory boy: Rooney leaps into the night sky after reaching his landmark 200th United goal
  Kijana wa kihistoria: Rooney akiruka hewani kushangilia baada ya kufunga bao la 200 UnitedMaster blaster: Antonio Valencia hammers the ball into the net for United's fourth goal of the night
  Mtaalamu: Antonio Valencia akifumua shuti kuifungia United bao la nneAll over bar the shouting: Van persie congratulates Valencia after his strike sealed the match
  Imetulia mwaka: Van Persie akimpongeza Valencia baada ya kuhitimisha mvua ya mabao ya UnitedStuck in: Marouane Fellaini (right) made his full debut for United on the big European stage
  Kifaa kipya: Marouane Fellaini (kulia) amecheza mechi ya kwanza kamili United Consolations: Simon Rolfes (above) and Omer Toprak (below) score for Leverkusen
  Mabao ya wageni: Simon Rolfes (juu) na Omer Toprak (chini) waliifungia Leverkusen
  Consolations: Simon Rolfes (above) and Omer Toprak (below) score for Leverkusen
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MAN UNITED YAUA 4-2 ULAYA, ROONEY APIGA MBILI NA KUTIMIZA MABAO 200...NA VAN MABAO KAMA KAWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top