• HABARI MPYA

  Saturday, September 28, 2013

  NGASSA ALIVYOREJEA NYUMBANI JANGWANI LEO YANGA SC IKIIBWAGA RUVU 1-0 LIGI KUU, ANGALIA KONGA ALILOPEWA KIIZA NA BEKI LA JESHINI, UTAMHURUMIA

  IMEWEKWA SEPTEMBA 28, 2013 SAA 2:19 USIKU
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akiwapunguia mikono mashabiki wa Simba SC baada ya kutoa pasi iliyozaa bao pekee la ushindi kwa timu yake leo dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.

  Stefano Mwasyika wa Ruvu Shooting akimdhibiti Mrisho Ngassa

  Wachezaji wa Yanga na Ruvu wakigombea mpira

  Hamisi Kiiza akiugulia maumivu baada ya kuchezewa rafu na Stefano Mwasyika

  Beki wa Ruvu Shooting George Michael akimpiga ngumi mshambuliaji wa Yanga SC, Hamisi Kiiza

  Kazi kweli kweli...kama siyo soka vile

  Krosi ya bao; Mrisho Ngassa akipga krosi iliyounganishwa na Hamisi Kiiza kwa tik tak kuipatia Yanga SC bao pekee la ushindi

  Simon Msuva akiwakimbiza mabeki wa Ruvu Shooting

  Haruna Niyonzima akimtoka kiungo wa Ruvu

  Hamisi Kiiza alikaribia kufunga kipindi cha kwanza kabla ya kufunga bao pekee kipindi cha pili

  Didier Kavumbangu akimuacha chini beki wa Ruvu

  Shaaban Suzan wa Ruvu Shooting akikabiliana na mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu

  Beki wa Yanga SC, Kevin Yondan akipanda kusaidia mashambulizi

  Ayoub Kitala akipambana na Mrisho Ngassa, huku Cossmas Lewis akiwa tayari kutoa msaada

  Stefano Mwasyika akimuacha chini Simon Msuva 

  11 walioanza Yanga SC leo

  11 wa Ruvu Shooting walioanza leo

  Beki wa Ruvu akimuweka chini mshambuliaji wa Yanga SC, Didier Kavumbangu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: NGASSA ALIVYOREJEA NYUMBANI JANGWANI LEO YANGA SC IKIIBWAGA RUVU 1-0 LIGI KUU, ANGALIA KONGA ALILOPEWA KIIZA NA BEKI LA JESHINI, UTAMHURUMIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top