• HABARI MPYA

  Monday, September 23, 2013

  BALOTELLI AKOSA PENALTI YA KWANZA MAISHANI AC MILAN IKILALA 2-1 NA KULIMWA 'RED' JUU

  IMEWEKWA SEPTEMBA 23, 2013 SAAA 7:48 USIKU
  MSHAMBULIAJI Mario Balotelli amekosa penalti kwa mara ya kwanza maishani mwake wakati AC Milan ikilala 2-1 nyumbani katika mchezo wa Serie A dhidi ya vinara Napoli Jumapili hii.
  Balotelli, ambaye amefunga penalti zake zote 21 za awali katika mechi rasmi, alishuhudia mkwaju wake ukiokolewa na kipa Pepe Reina dakika ya 60.
  Hata hivyo, 'Supermario' aliifungia Milan dakika ya 90 na ushei kabla ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano na kutolewa nje miwishoni mwa mchezoMabao ya Napoli yalifungwa na Britos dakika ya sita na Higuaín dakika ya 54 pasi ya Zuniga.
  Seeing red: Mario Balotelli, left, is restrained by Milan team-mate Marco Amelia after being sent off
  Nyekundu: Mario Balotelli, kuahoto akitulizwa na mchezaji mwenzake wa Milan, Marco Amelia baada ya kulimwa kadi nyekundu
  AC Milan's forwards Mario Balotelli (2ndL) reacts after receiving a red card
  AC Milan's forwards Mario Balotelli (2ndR) argues with the referee Luca Banti (3dL)
  Kachaa Mario: Baloteli akibishana na refa Luca Banti
  Missed: Mario Balotelli missed the first penalty of his career in the 2-0 defeat to Napoli
  Anakosa: Mario Balotelli akikosa penalti
  Combo breaker: Pepe Reina saved Balotelli's penalty, his first miss in 27 attempts
  Kaokoa: Pepe Reina ameokoa penalti ya Balotelli
  On target: Gonzalo Higuain scored again for his new club
  Amefunga: Gonzalo Higuain ameifungia timu yake mpya
  Doubled: Miguel Britos scores Napoli's second goal
  La pili: Miguel Britos akiifungia Napoli bao la pili
  Acrobatics: Balotelli attempts an overhead kick
  Pigo takatifu: Balotelli akifunga kwa tik tak
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: BALOTELLI AKOSA PENALTI YA KWANZA MAISHANI AC MILAN IKILALA 2-1 NA KULIMWA 'RED' JUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top