• HABARI MPYA

  Sunday, September 22, 2013

  CHISORA AMTWANGA MJERUMANI NA KUTWAA UBINGWA WA ULAYA

  Euro win: Dereck Chisora won the European heavyweight title
  IMEWEKWA SEPTEMBA 22, 2013 SAA 9:47 ALASIRI
  Bingwa wa Ulaya: Dereck Chisora akimchapa konde Mjerumani Edmund Gerber katika pambano la kuwania ubingwa wa Ulaya kwenye ukumbi wa Copper Box Arena mjini London. Chisora alishinda kwa Technical Knockout (TKO) Raundi ya tano.
  Title: Del Boy beat Edmund Gerber at the Copper Box
  Taji: Del Boy akipewa taji lake baada ya kumpiga Edmund Gerber ukumbi wa Copper Box
  Stoppage: The referee stopped the fight after a dominant performance from the Londoner
  piga kama mwizi: Refa alimaliza pambano baada ya Chisora kumpiga mpinzani wake mfululizo bila majibu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: CHISORA AMTWANGA MJERUMANI NA KUTWAA UBINGWA WA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top