• HABARI MPYA

  Friday, September 27, 2013

  NGASSA ALIVYOWASILISHA MILIONI 45 ZA SIMBA TFF JIONI HII

  IMEWEKWA SEPTEMBA 27, 2013 SAA 9:55 ALASIRI
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Khalfan Ngassa (katikati) akiwa ameshika risiti ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya kulipa Sh. Milioni 45, alizotakiwa kuilipia klabu ya Simba SC. Wengine kulia ni Ofisa Habari wa Yanga SC, Baraka Kizuguto na kushoto Mhasibu, Rose Msamila. Ngassa alifungiwa mechi sita za mashindano na TFF pamoja na kutakiwa kurejesha fedha za Simba Sh. Milioni 30 na fidia ya Sh. Milioni 15, baada ya kubainika alisaini timu mbili, Simba na Yanga alikoidhinishwa kuchezea msimu huu.

  Ngassa akiwa ndani ya ofisi za TFF wakati anaandikiwa risiti baada ya kulipwa fedha

  Ngassa akionyesha cheki alizokwenda kulipa TFF

  Wapambe; Wanachama wa Yanga, Kaisi na Shamte kushoto walimsindikiza Ngassa leo

  Risiti ya TFF

  Cheki za Milioni 45

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: NGASSA ALIVYOWASILISHA MILIONI 45 ZA SIMBA TFF JIONI HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top