• HABARI MPYA

  Saturday, September 28, 2013

  RONALDO ATESA NA SAA LA ALMASI LA PAUNI 100,000

  IMEWEKWA SEPTEMBA 27, 013 SAA 8:29 USIKU
  PICHA ni kla kitu kwa 'Mfalme wa Bling' Cristiano Ronaldo ambaye amepigwa picha akiwa na saa ya madini ya Almasi.
  Saa hiyo ni ya kampuni ya Jacob toleo la H24 ikiwa imeundwa kwa almasi tupu yenye uzito wa cts 15.25 na yenye thamani ya Pauni 100,000.
  Pamoja na kuongezewa mshahara wake katika Mkataba wake mpya na Real Madrid hadi kufika Pauni 288,000 kwa wiki, mchezaji huyo anayelipwa mshahara mkubwa zaidi duniani hakuweza kununua saa hiyo kwa fedha zake hadi alipotumika kibiashara na watengezaji wa saa hiyo.
  Mreno huyo alionekana akiondoka katika mgahawa wa Madrid akiwa amevaa saa hiyo yenye gharama kubwa zaidi ya gari kabla ya kuingia kwenye gari lake la Lamborghini Aventador - gari ambayo ina thamani zaidi ya nyumba ya kifahari.
  Cristiano Ronaldo
  umeipata hiyo... Cristiano Ronaldo akionekana akiangalia saa lake la madini ya bei mbaya
  Christiano Ronaldo
  Christiano Ronaldo
  Ronaldo
  Mfalme wa bling: Nyota wa Ureno na saa ya Almasi
  Ronaldo
  Mshambuliaji katika pozi: Ronaldo mbele ya tangazo jipya la promo la saa za kampuni ya Jacob & Co. 
  ronaldo
  Ronaldo katika pozi la tangazo la saa

  “Wakati wote najaribu kufanya vizuri katika mipangilio yangu, kama ninavyofanya uwanjani,” alisema Ronaldo wakati wa upigaji picha hizo mjini Madrid. 
  "Najaribu kutimiza maelekezo ninayopewa (kuhusu kampeni) na ninatulia sasa kutimika katika kamara,".
  Mchezaji huyo mwenywe umri wa miaka 28 hivi karibuni pia ameonekana akitesa katika kapeti jekundu kwa ajili ya peomo la Jacob & katika klabu la Monte Carlo.
  Star supporter: The brand's founder seemed pleased to have the high-profile support of Ronaldo
  Babu kubwa: Ronaldo akiwa Monte Carlo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: RONALDO ATESA NA SAA LA ALMASI LA PAUNI 100,000 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top