• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 20, 2013

  MABINTI WA KITANGA KATIKA MTOKO WA 'DINNER'...WATU WACHA MATE YAMWAGIKEEE!

  IMEWEKWA JUNI 20, 2013 SAA 7:00 USIKU
   Washiriki wa Miss Tanga wakiwa katika chakula cha usiku katika ukumbi wa Pub Hai, maeneo ya Saba saba Tanga usiku walipoalikwa na uongozi wa Pub hiyo. Shindano la Miss Tanga linatarajiwa kufanyika Jumamosi wiki hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

  Chakula kitamu

  Sala kwanza; Mrembo akisali kabla ya kuanza kula

  Kupakuliwa tani yako

  Yaani ile ushindwe mwenyewe

  Mapochopocho

  Waandaaji na bosi wa Pub Pub wakiteta

  Mkurugenzi wa DATK Entertainment, waandaaji wa Miss Tanga 2013, Asha Kigundula akigonga cheers na mumewe  

  Warembo Cheers

  Jamani totozx za Miss Tanga si mnaoooonaaaaa

  Mrembo akimiminiwa mvinyo na bosi wa Pub Hai

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MABINTI WA KITANGA KATIKA MTOKO WA 'DINNER'...WATU WACHA MATE YAMWAGIKEEE! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top