• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 27, 2013

  MUSSA MGOSI ANG'ARA KATIKA ' NDONDO' CHINA NA KUWAPA UBINGWA WATANZANIA MARA YA PILI MFULULIZO

  IMEWEKWA JUNI 27, 2013 SAA 1:57 ASUBUHI

  Tunatishaa Watanzania dunia nzimaaaMshambuliaji wa zamani wa SImba SC, Mussa Hassan Mgosi akifuarahia ushindi wa timu ya Jumuiya ya Watanzania nchini China wa mabao 2-1 dhidi ya Jumuiya wa watu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) jana katika mashindano maalum. Mgosi ambaye kwa sasa anachezea JKT Ruvu ya Dar es Salaam pia, amekwenda huko kama mchezaji mwalikwa kwa mwaka wa pili mfululizo.; 

  Mgosi akipongezwa na Watanzania waishio China kwa kazi nzuri
  Nahodha wa Tanzania na DRC, wakibadilishana bendera za nchi zao mbele ya marefa wa mechi hiyo jana kabla ya kuanza kwa mchezo


  Pati la ushindi wabongo China


  Benchi..
  Wapinzania marafiki

  Mwali huyo...

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MUSSA MGOSI ANG'ARA KATIKA ' NDONDO' CHINA NA KUWAPA UBINGWA WATANZANIA MARA YA PILI MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top