• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 19, 2013

  MABINTI WA KITANGA WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL LEO...ILIKUWA DAH!

  IMEWEKWA JUNI 19, 2013 SAA 6:30 MCHANA
  Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) tawi la Tanga, Andrew Mushi akizungumza na warembo wanaoshiriki shindano la Miss Tanga 2013 linalofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakati walimbwende hao walipotembelea kiwanda hicho asubuhi ya leo. TBL inadhamini shindano hilo kupitia kinywaji chake cha Redd's.

  Warembo wakiwa kwenye kijiko cha kupangia masanduku ya Bia cha TBL

  Meneja Ghala la TBL, Edwin Wilfred akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya DATK Entertainment, waandaaji wa Miss Tanga 2013, Asha Kigundula kushoto. Nyuma ni mume wake, Majjid Ngota  

  Andrew Wilfred akizungumza na warembo

  Meneja Mauzo wa TBL Tanga, Bahati Mbise akizungumza na warembo

  Warembo wakidadisi mambo mbalimbali kwa Ofisa Usambazaji wa TBL Tanga, Rose Mukhtari

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MABINTI WA KITANGA WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL LEO...ILIKUWA DAH! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top