• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 22, 2013

  KIUNGO HARAMBEE STARS AANGUKA MIAKA MIWILI COASTAL COASTAL UNION  IMEWEKWA JUNI 22, 2013 SAA 2:30 USIKU

  Mwakilishi wa Coastal Union YA Tanga, nchini Kenya, Hussein Tawaqal akikamilisha usajili la kiungo wa kimataifa wa Kenya na klabu ya Bandari ya huko, Crsipin Odula Wadenye kwa kusaini naye Mkataba wa miaka miwili leo mjini Mombasa, Kenya.
  Kocha wa Coastal, Hemed Morocco alikuwa akililia sana kwa uongozi wa timu, uhakikishe unainasa saini ya Odula aliyechezea Azam FC mwaka 2008 kwa gharama yoyote ili aje kutengeneza ushirikiano wa hatari katikati ya timu, kati yake na Mkenya mwenzake, Jerry Santo na mzalendo Haruna Moshi ‘Boban’. Katika picha nyingine, ameongezeka Mkurugenzi wa Ufundi wa Coastal, Nassor Bin Slum.
  Odula akiichezea Kenya dhidi ya Nigeria
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: KIUNGO HARAMBEE STARS AANGUKA MIAKA MIWILI COASTAL COASTAL UNION Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top