• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 23, 2013

  NEYMAR AENDELEA KUING'ARISHA BRAZIL, CHICHARITO AIPA USHINDI MEXICO, LAKINI YAAGA KOMBE LA MABARA

  IMEWEKWA JUNI 23, 2013 SAA 9:30 USIKU
  MABAO ya Dante dakika ya 45, Neymar 55 na mawili ya Fred dakika za 66 na 88 yameipa Brazil ushindi waliostahili wa 4-2 dhidi a Italia usiku huu na kufuzu Nusu Fainali ya Kombe la Mabara ikishinda mechi zote katika Kundi A.
  Italia ilipata mabao yake kupitia kwa Giaccherini dakika ya 51 na Chiellini dakika ya 71.
  Kikosi cha Brazil kilikuwa; Julio Cesar, Dani Alves, Thiago Silva, Luiz/Dante dk33, Marcelo, Gustavo, Hernanes, Hulk/Fernando dk76, Oscar, Neymar/Bernard dk68 na Fred.
  Italia: Buffon, Abate/Maggio dk30, Bonucci, De Sciglio, Chiellini, Candreva, Aquilani, Marchisio, Montolivo/Giaccherini dk26, Diamanti/El Shaarawy dk71 na Balotelli.
  And again: Neymar scored again in Brazil's 4-2 win over Italy
  Na tena: Neymar ameifungia tena Brazil katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Italia
  Brilliant: Neymar scored an excellent free-kick to put Brazil in front
  Neymar akifunga
  Equaliser: Emanuele Giaccherini flashes his shot past Julio Cesar after a brilliant touch by Mario Balotelli
  Emanuele Giaccherini akimtungua Julio Cesar baada ya kupokea pasi ya Mario Balotelli

  MSIMAMO KUNDI A KOMBE LA MABARA

  TimuMechiKushindaSareKufungwaMabao ya kufunga Mabao ya kufungwaPointi
  Brazil3300929
  Italy3201886
  Mexico3102353
  Japan3003490

  Katika mchezo mwingine wa kundi hilo, Javier Hernandez alifunga mabao mawli na kukosa penalti Mexico ikiifunga Japan 2-1 na kumaliza katika nafasi ya tatu kwenye Kundi A.
  Bao la Japan lilifungwa na Shinji Okazaki na sasa Brazil inaungana na Italia kusonga Nusu Fainali.
  Star: Javier Hernandez headed home twice as Mexico beat Japan in their final group game
  Nyota: Javier Hernandez amefunga mawili dhidi ya Japan
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: NEYMAR AENDELEA KUING'ARISHA BRAZIL, CHICHARITO AIPA USHINDI MEXICO, LAKINI YAAGA KOMBE LA MABARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top