• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 22, 2013

  CHELSEA WAPATA MKATABA MPYA MNONO WA JEZI...WAPEWA PAUNI MILIONI 300 NA ADIDAS NA KUIPIGA BAO HADI MAN UNITED

  IMEWEKWA JUNI 22, 3013 SAA 2:35 ASUBUHI
  KLABU ya Chelsea imesaini dili kubwa zaidi kihistoria la udhamini wa jezi katika Ligi Kuu ya England, baada ya kukubali Mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya Pauni Milioni 300 na adidas.
  Data zilitolewa jana juu ya dili hilo a nguvu walilolipata Chelsea kutoka kampuni hiyo  nguli ya vifaa vya michezo ya Ujerumani.
  Bright white: Chelsea's new away kit is partly in homage to the white kits of the 1960s
  Nyeupe ang'avu: Jezi mpya za Chelsea ugenini
  Mata
  Mata
  Full view
  Angalia nzima
  VIDEO: Nyota wa Chelsea katika jezi zao mpya za ugenini
   
  Pamoja na hayo, manufaa zaidi yatategemea na jinsi Chelsea itakavyoshinda mataji makubwa, Mkataba huo ni mnono zaidi kuliko ambao mabingwa wa England, Manchester United wameingia na Nike.
  Kurejea kwa Jose Mourinho Stamford Bridge, pamoja na Mkataba huu mnono mpya wa udhamini wa jezi baina ya Chelsea na adidas unatarajiwa kuisaidia timu hiyo kuimarika upya.
  Angalia mikataba mingine hapo chini.
  shirt graphic

  Chelsea kit
  Sock
  Splash of colour: Chelsea stars were covered in paint for the release of their home kit

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: CHELSEA WAPATA MKATABA MPYA MNONO WA JEZI...WAPEWA PAUNI MILIONI 300 NA ADIDAS NA KUIPIGA BAO HADI MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top