• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 18, 2013

  MABINTI WA KITANGA WATEMBELEA MAPANGO YA AMBONI...SHOO YAO NI JUMAMOSI MKWAKWANI, PATAPENDEZA MAANA TOTOZ NI ZA UKWELI

  IMEWEKWA JUNI 18, 2013 SAA 12:30 JIONI

  Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanga 2013, linaloandaliwa na kampuni ya DATK Entertainment, ambalo litafanyika Jumamosi wiki hii kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakitokeza kwenye moja ya mapango ya Amboni jioni leo, wakati walipotembelea mapango hayo ya kihistoria kujifunza mbalimbali kuhusu mapango hayo. 

  Vimwana hao

  Totoz kikomandoo

  Full Mashauzi..chezea mabinti wa Kitanga weweee

  Kwa mapozi sasa...

  Mbele ya bango la Amboni

  Hapa wanauliza maswali mbalimbali kuhusu mapango hayo, kutoka kwa Ofisa mtoa mwongozo katika mapango hayo

  Wamenogaje???

  Mahojiano na vyombo vya Habari...

  Pozi kwenye mwamba...

  Kila aina ya pozi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MABINTI WA KITANGA WATEMBELEA MAPANGO YA AMBONI...SHOO YAO NI JUMAMOSI MKWAKWANI, PATAPENDEZA MAANA TOTOZ NI ZA UKWELI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top