• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 22, 2013

  LIVERPOOL YAMTANGAZA RASMI LUIS ALBERTO KIFAA CHAKE KIPYA

  IMEWEKWA JUNI 22, 2013 SAA 9:00 ALASIRI
  KLABU ya Liverpool imetangaza kumsaini mshambuliaji wa Sevilla, Luis Alberto kwa dau la Pauni Milioni 6.8.
  Mspanyola huyo mwenye umri wa miaka 20, amesaini mkataba wa miaka minne na Wekundu hao.
  Akiwa ametumia msimu uliopita kucheza kwa mkopo Barcelona B, Alberto amefunga mabao 11 na kutoa pasi safi 17 za mabao katika mechi 38 katika kikosi hicho cha wachezaji wa akiba wa timu hiyo ya Catalan.
  Luis Alberto
  Amesajiliwa: Mshambuliaji mpya wa Liverpool, Luis Alberto

  Kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers amesema katika mtovuti ya klabu hiyo: "Tuna furaha kwamba Luis ameamua kujiunga na Liverpool. Ni mchezaji mwenye sifa za na uwezo wa kuichezea Liverpool.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: LIVERPOOL YAMTANGAZA RASMI LUIS ALBERTO KIFAA CHAKE KIPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top