MAN UNITED YAZIPA 'BONGE LA DILI' SIMBA NA YANGA LA 'MAHELA'
IMEWEKWA JUNI 24, 2013 SAA 7:00 MCHANA
Meneja Vyombo vya Habari wa Kampuni ya Ogilivy Tanzania, Maximillian Kitula akiwa ameshika paketi ya sigara aina ya Manchester United Kingdom zinazozalishwa na klabu ya Mancshetr United ya England. Sigara inazalishwa kwa tumbaku, ambayo inalimwa kwa wingi nchini Tanzania, bila shaka hata klabu zetu kama Simba na Yanga zinaweza kujiingizia fedha nyingi kutokana na miradi aina hii.