![]() |
| Beki wa Ivory Coast akijaribu kumdhibiti Mbwana Samatta |
![]() |
| Nori Koffi Christian wa Ivory Coast akimfukuza Mbwana Samatta |
![]() |
| Samatta anafanya safari |
![]() |
| Samatta huyoo |
![]() |
| Samatta anakwenda |
![]() |
| Jean Gosso Gosso akimdhibiti Mwinyi Kazimoto, huku Didier Zakora akiwa tayari kutoa msaada |
![]() |
| Gosso Gosso amemuweka chini Kazimoto |
![]() |
| Kazimoto chini, Gosso Gosso kushoto, kulia Zakora |
![]() |
| Thomas Ulimwengu kulia akitafuta mbinu za kumtoka Didier Zakora |
![]() |
| Ulimwengu na Zakora |
![]() |
| Wachezaji wa Stars wakishangilia bao lao la kwanza |
![]() |
| Ulimwengu akishangilia bao lake |
![]() |
| Shomary Kapombe akitolewa nje baada ya kuumia |
![]() |
| Kapombe akipatiwa huduma ya kwanza baada ya kuumia |
![]() |
| Kapombe akigaagaa kuugulia maumivu |
![]() |
| Penalti ya Yaya Toure |
![]() |
| Salum Abubakar 'Sure Boy' akikatiza |
![]() |
| Shomary Kapombe amepiga kichwa kuokoa |
![]() |
| Geoffrey Serey akiwa ametoa mpira nje dhidi ya Thomas Ulimwengu |
![]() |
| Serey na Ulimwengu |
![]() |
| Ulimwengu akiwatoka Suleiman Bamba na Arthur Boca kushoto |
![]() |
| Kushoto ni Ulimwengu na Gosso Gosso na kulia Amri Kiemba na Boca, wakati kulia kabisa ni Solomon Kalou |
![]() |
| Amri Kiemba akimdhibiti Boca |
![]() |
| Hatari kwenye lango la Ivory Coast |
![]() |
| Kikosi cha Taifa Stars leo |
![]() |
| Kikosi cha Ivory Coast leo |
![]() |
| Kula tano; Mbwana Samatta akisalimiana na Didier Zakora |
![]() |
| Tumekwisha; Shabiki wa Stars akionyesha ishara ya 'tumekwisha' baada ya bao la nne la Ivory Coast |































.png)