• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 21, 2013

  WALIMBWENDE MISS TANGA WAMKOSA DK JK, WAANGUKIA KWA DK BILAL

  IMEWEKWA JUNI 21, 2013 SAA 7:02 MCHANA
  Washiriki wa shindano la Miss Tanga 2013 linalofanyika kesho Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakiwa katika eneo la Pongwe, Tanga wakati wa ziara ya Makamu wa Rais, Dk Mohammed Ghalib Bilal kuzindua mradi wa uwekezaji wa viwanda katika eneo hilo asubuhi ya leo. Awali, Rais Dk. Jakaya Kikwete ndiye aliyetarajiwa kuja kuzindua mradi huo, lakini badala yake amekuja Dk Bilal. 

  Vimwana...

  Kesho kazi ipo Mkwakwani

  Walimbwende wakitalii katika eneo hilo

  Watatu kati yao

  Wanafunzi walikuwepo kupamba sherehe za uzinduzi wa mradi

  Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Mstaafu, Chiku Gallawa akihutubia

  Madaktari; Dk Bilal kulia na Dk Abdallah Kigoda kushoto wakisikiliza hotuba ya Mkuu wa Mkoa 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: WALIMBWENDE MISS TANGA WAMKOSA DK JK, WAANGUKIA KWA DK BILAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top