• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 26, 2013

  TEVEZ APATA MAPOKEZI MAKUBWA ITALIA

  Flying colours: Carlos Tevez has completed his £10million move from Manchester City to Juventus
  Carlos Tevez akiinua juu ya jezi ya Juve

  IMEWEKWA JUNI 26, 2013 SAA 3:54 USIKU
  MSHAMBULIAJI Carlos Tevez amewasili Italia na kupata mapokezi makubwa kuelekea uhamisho wake wa Pauni Milioni 10 Juventus kutoka Manchester City.
  Mpachika mabao huyo wa Kiargentina alitua katika Uwanja wa Ndege wa Malpensa mjini Milan na kupokewa na umati wa mashabiki ambao mara zote hupenda kuwalaki nyota wao wapya.
  Tevez, mwenye umri wa miaka 29, anatarajiwa kusaini Mkataba wa Miaka mitatu Jijini Turin baada ya kumaliza zoezi la vipimo vya afya leo, huku makubaliano binafsi baina yake na klabu hiyo yakiwa tayari yamefikiwa.
  New start: Carlos Tevez arriving at Malpensa airport in Milan as he completes his move to Juventus
  Mwanzo mpya: Carlos Tevez alipowasili Uwanja wa ndege Malpensa mjini Milan kukamilisha uhamisho wake Juventus
  Bargain: The Argentine has signed for Juventus for a fee believed to be around £10million
  Mapaparazzi
  Gone: With a checkered history in England, Tevez will be hoping to recreate his image in Italy
  Anatokeza
  Waving hello: The 29-year-old has several years left at the top
  Tano: akisalimia
  Who goes there! The Italian police were in town to stop things from getting out of hand
  Ulinzi! Polisi wa Italia wakimuwekea ulinzi
  Shaken: Tevez did look slightly taken aback with all the attention
  Tevez katikati ya umati
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: TEVEZ APATA MAPOKEZI MAKUBWA ITALIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top