• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 20, 2013

  BALOTELII AWAREJEAN MAN CITY... PATAMU AJEEEE

  IMEWEKWA JUNI 20, 2013 SAA 8:00 USIKU
  MSHAMBULIAJI Mario Balotelli atakutana ana kwa ana na wachezaji wa timu yake ya zamani baada ya AC Milan kupangwa na Manchester City katika Nusu Fainali za Kombe la Audi mjino Munich.
  Mshambuliaji huyo mtata wa Italia alirejea San Siro Januari mwaka huu kwa dau la Pauni Milioni 19, baada ya miaka mitatu ya kuitumikia Manchester.
  Sasa anatarajiwa kuivaa klabu yake ya zamani kwa mara ya kwanza Julai 31 katika mashindano ya kujiandaa na msimu mpya Uwanja wa Allianz Arena. 
  Familiar face: Manchester City will come up against Mario Balotelli for the first time since he moved to AC Milan in the pre-season Audi Cup tournament
  Sura ya kidugu: Manchester City itamenyana na Mario Balotelli kwa mara ya kwanza tangu ahamie AC Milan 
  Mario Balotelli in action for Manchester City against Watford in the FA Cup third round back in January
  Mario Balotelli in action for AC Milan in the derby with Inter Milan in February
  Uhamisho mkubwa: Balotelli alitua AC Milan akitokea Manchester City kwa ada ya Pauni milioni 20

  Wenyeji na mabingwa wa U;aya, Bayern Munich watacheza na Sao Paulo ya Brazil katika mchezo wao mwingine wa Nusu Fainali jioni hiyo hiyo.
  Balotelli amekuwa katika kiwango kizuri tangu arejee Italia akifunga mabao 12 katika mechi 13 za Serie A ikiwa ni zaidi ya mchezo mmoja kutoka mechi 14 alizocheza mzunguko wa kwanza England.
  International duty: Balotelli is currently playing for Italy in the Confederations Cup in Brazil
  Balotelli akiwapigia makofi mashabiki
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: BALOTELII AWAREJEAN MAN CITY... PATAMU AJEEEE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top