• HABARI MPYA

    Friday, July 05, 2019

    FRENKIE DE JONG ATUA BARCELONA KUKAMILISHA UHAMISHO WAKE

    Kiungo Frenkie de Jong akiwa makao makuu ya Barcelona jana baada ya kuwasili kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 75 kutoka Ajax na baadaye kutambulishwa rasmi Nou Camp PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FRENKIE DE JONG ATUA BARCELONA KUKAMILISHA UHAMISHO WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top