• HABARI MPYA

  Thursday, December 06, 2018

  MILNER, FIRMINO, SHAQIRI WAFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA BURNLEY 3-1

  Xherdan Shaqiri akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 90 na ushei ikiwalaza wenyeji, Burnley 3-1 usiku wa jana Uwanja wa Turf Moor katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Liverpool yalifungwa na James Milner dakika ya 62 na Roberto Firmino dakika ya 69 wakati la Burnley lilifungwa na Jack Cork dakika ya 54 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MILNER, FIRMINO, SHAQIRI WAFUNGA LIVERPOOL YAICHAPA BURNLEY 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top