• HABARI MPYA

    Saturday, August 04, 2018

    NEYMAR AREJEA KIKOSINI PSG NA KUANZIA BENCHI

    Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akiwa benchi wakati wa mchezo wa Kombe la Mabingwa ambao walishinda 4-0 dhidi ya Monaco leo Uwanja wa Shenzhen City mjini Shenzhen, kabla ya kuingia dakika ya 76 kuchukua nafasi ya Marco VerrattiPSG ikishinda 4-0. Neymar amejiunga na PSG jana baada ya mapumziko zaidi kufuatia Kombe la Dunia, Brazil ikitolewa Ubelgiji katika Robo Fainali. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NEYMAR AREJEA KIKOSINI PSG NA KUANZIA BENCHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top